Kituo cha Afya Nguruka chakabidhiwa chumba kipya cha upasuaji kilichokarabatiwa na Thamini Uhai. Pichani, Mkuu wa Mkoa wa kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu-Joseph Maganga akizungumza wakati wa sherehe za makabidhiano ya chumba hicho.